Connect with us

Football predictions

Umwamba EPL, BT na Sky Bodi ya Ligi Kuu ya England

Published

on


Bodi ya Ligi Kuu ya England (EPL) imeonesha umwamba dhidi ya wadhamini na watangazaji wa michuano hiyo mikubwa hapa – BT Sport and Sky Sports.

Wakati klabu zikinyenyekea ili kampuni hizo zisisitishe malipo kutokana na haki ya matangazo na mechi zilizosalia kwa msimu huu kwa kuwa hatima yake haijulikani, EPL imekuja kivingine.

Bodi hiyo imewazuia Bt Sport na Sky Sports kuhiji lolote juu ya lini msimu utarejea tena kwa mechi zilizosalia kuchezwa, ili bingwa kupatikana na wa kushuka au kupanda daraja kujulikana vile vile.

Wametakiwa kuwa makini na kufuata sheria, kanuni, miongozo na mikataba waliyofikia awali, na kwamba hatua kali zitachukuliwa iwapo watajaribu kuwafikia na kuzungumza na makocha au wachezaji wa ligi hiyo.

Ligi Kuu ya England imesimamishwa kwa muda usiojulikana kwa sababu ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu maarufu kama Covid-19. Kwa msingi wa msimamo uliotolewa na EPL, ni kwamba maswali na masuala yote yanayohusiana na athari za virusi hivyo kwa ligi yamepigwa marufuku kwa wawili hao.

Sky, wamelipa kima cha £1.19bilioni kwa haki za matangazo ya mechi msimu huu wakati BT wametoa jumla ya £325 milioni. Klabu zilikuwa zimeshakunbali kutoa makocha wao kwa ajili ya mahojiano na vituo hivyo kila baada ya wiki nne na mchezaji mmoja kila baada ya wiki mbili, wakati huu ambapo watangazaji hao wakiwa na kiu ya kuendelea na matangazo yanayohusiana na michezo msimu ukiwa umezimwa kwa muda.

Tayari Sky wamesema kwamba hawatadau kurejeshewa fedha zao kutokana na masharti na vigezo juu ya kufanyika kwa mechi na kurushwa kote duniani kutofikiwa ipasavyo. Barua pepe imetumwa kwa watangazaji hao wawili ikiwaonya kuwa makini na kwenda kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa wakati wa majadiliano wiki jana.

Continue Reading
1 Comment

1 Comment

  1. Israel Saria

    April 22, 2020 at 8:36 pm

    Acha tabia ya kuiba habari za watu bila kutoa Credit…..Acha hii tabia mara moja, siyo ustaarabu na haikupi heshima ya kuwa mmilikiki wa tovuti inayo andika habari za watu wengine.nitaendelea kufuatilia.
    Israel Saria

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Football predictions

MatchLA Galaxy vs Seattle Sounders FC Betting Tips & Predictions Sep 28, 2020 – masasi.ac.tz

Published

on

TIP ANALYSIS

Mathematical Analysis for this USA MLS recreation:
LA Galaxy meets Seattle Sounders FC in a fit of a spherical in USA MLS this Monday at 03:30 GMT.

Statistics are expecting a complete time results of 2:2.

A Draw may be very more likely to occur.

The Analysis recommend Over 2.5 objectives on this fit.

And a Yes for each groups to attain.

The fit preview to the soccer fit LA Galaxy vs Seattle Sounders FC in america MLS compares each groups and contains fit predictions the most recent fits of the groups, the fit details, face to face (h2h), purpose statistics, desk standings. These details will have to all be regarded as to position a a success wager in this fit

Continue Reading

Football predictions

FitVancouver Whitecaps vs Portland Timbers Betting Tips & Predictions Sep 28, 2020 – masasi.ac.tz

Published

on

TIP ANALYSIS

Mathematical Analysis for this USA MLS recreation:
Vancouver Whitecaps meets Portland Timbers in a fit of a spherical in USA MLS this Monday at 03:00 GMT.

Statistics expect a complete time results of 1:4.

The winner could be Portland Timbers.

The Analysis counsel Over 2.5 objectives on this fit.

And a Yes for each groups to attain.

The fit preview to the soccer fit Vancouver Whitecaps vs Portland Timbers in the United States MLS compares each groups and comprises fit predictions the newest suits of the groups, the fit details, face to face (h2h), purpose statistics, desk standings. These details must all be thought to be to put a a success guess in this fit

Continue Reading

Football predictions

FitSlavia Sofia vs Tsarsko Selo 2015 Betting Tips & Predictions Sep 28, 2020 – masasi.ac.tz

Published

on

TIP ANALYSIS

Mathematical Analysis for this Bulgaria First League recreation:
Slavia Sofia meets Tsarsko Selo 2015 in a fit of a spherical in Bulgaria First League this Monday at 18:30 GMT.

Statistics expect a complete time results of 1:0.

The winner is perhaps Slavia Sofia.

The Analysis counsel Under 2.5 targets on this fit.

And a No for each groups to attain.

The fit preview to the soccer fit Slavia Sofia vs Tsarsko Selo 2015 within the Bulgaria First League compares each groups and comprises fit predictions the newest fits of the groups, the fit information, face to face (h2h), objective statistics, desk standings. These information will have to all be thought to be to put a a success wager in this fit

Continue Reading

Trending

We use cookies in order to give you the best possible experience on our website. By continuing to use this site, you agree to our use of cookies.
Accept
Privacy Policy